MENU

Saturday, November 9, 2024

NAMNA YA KUJIINGIZIA KIPATO KWA KUTUMIA SIMU (Tengeneza pesa kwa kutumia simu yako ya mkononi)

Karibu Tena katika blog yetu ya DUDUU_MENDEZ COMMUNITY. 


Leo tutaenda kuangalia njia mbalimbali ambazo zitakusaidia kujiingizia kipato kupitia simu yako ya mkononi

Kuna watu ambao hukaa ndani kwa masaa kadhaa na kujiingizia kiasi flani.
Kwasasa dunia imekua sana katika suala la teknolojia na mitandao 

Leo nitakuonyesha njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia ukajiingizia kipato kwa kutumia simu yako ya mkononi


NJIA ZA KUJIINGIZIA KIPATO KWA KUTUMIA SIMU YAKO 


1.TIKTOK




Kwasasa tiktok imeweza kuwalipa wengi, kuna watu ambao wanaendesha maisha yao kwa kutumia tiktok,  watu hao ndo wale unao waona wanaitwa content creators

Content creators sasa hivi wamekuwa wengi katika kila kona ya dunia watu wengi wejiingizia kipato kupitia hio kazi yao

Ili uweze kulipwa na tiktok itakubidi uwe umefungua international account na umewasha baadhi ya settings

KAMA UNAHITAJI TIKTOK ACCOUNT YA INTERNATIONAL GUSA HAPA 👉TIKTOK 👈


Nimefanya utafiti wangu nimeona watu wengi wapo tiktok na account kubwa lakini sio international account 😔🥺🥺

Unakuta mtu ana likes kama 50k na followers 2k ila account yake ni ya kawaida






2.ONLINE SURVEY 



Hii platform ambayo itakuhitaji kukusanya data za kuwasaidia katika utafiti wao (survey). 


Kuna platform mbalimbali za online survey na ambazo zinalipa vizuri kwa kila survey kuanzia 2$ hadi 10$ na kwa mwezi unaweza kupata nafasi ya kufanya survey kama 5-10, 
Hii ni kutokana na profile yako uliyoweka ndo itapelekea kupokea invitation nyingi za survey.

Kwa hapa TANZANIA platform nyingi za survey hazitoi invitation nyingi kama nchi nyingine 

List ya platform za online survey 





3.TRANSLATION AND CAPTION 


Hizi ni platform ambazo zinakuhitaji ufanye utafsiri katika video na pia utoe caption zake hapo chini kwenye video.

Katika hizi platform kuna watu ambao huwa wanahitaji wafanyiwe translation ya video zao za interview. Hii ipo kila sehemu hapa duniani (worldwide)

Mfano wa platform hizo ni kama hizi





04.MDUNDO.COM


Watu wengi wameweza kujipatia ela kupitia mdundo kwani inalipa vizuri sana na kwa wakati sahihi, na kujiunga haitaji gharama zozote

Namna ya kujiunga
  • Fungua website yao mdundo.com 
  • Shuka mpaka chini chagua sehemu iliyoandiwaa register as an artist 
  • Jisajili kwa kutumia email yako
  • Anza kupost ngoma mbalimbali 
  • Share link yako kwa watu ili ujipatie downloads wengi
  • Anza kutengeneza pesa
Kipindi cha mwaka huu nimeweza kujiingizia kiasi cha 100,000/= ndani ya mwezi mmoja 
Niliweza kupost wimbo wa lavalava kibango na ngoma ya Diamond ya mapozi, Ngoma hizi zimenifanya nimeweza kushika rank ya mtu wa pili katika rank za mdundo ndani ya mwezi June na Julai




5.SOCIALPOP ONLINE


 
Huu ni mtandao wa kijamii kama unavyoona Facebook au instagram 
Mtandao huu umetengenezwa na watanzania hapa hapa kwahiyo bado ni mpya

Unaweza ukawa mgeni kusikia huu mtandao na unajiuliza unaweza vipi kupata ela kupitia mtandao huu 

Katika huu mtandao kwenye kila post unayopost na kila comment unayotoa na likes utakuwa unapata point na hizo point unaweza kuzibadilisha na zikawa Ela ya kawaida 

Haitaji mambo mengi hii kitu
Download app yao kupitia SOCIALPOP APP

Follow me on socialpop Duduu_mendez




HIZO NI BAADHI YA SEHEMU AMBAZO UNAWEZA KULIPWA PESA NA HAZIHITAJI KUWA NA UJUZI WOWOTE WA ZIADA NEXT POST TUTAENDELEA NA SEHEMU NYINGINE AMBAZO ZINAHITAJI UJUZI WA ZIADA KIDOGO 






Prepared by WADUDUU BRAND
Written by DUDUU_MENDEZ 

Follow us on

DUDUU_MENDEZ V4. | © 2024



No comments:

Post a Comment