MENU

β–Ό

Saturday, November 9, 2024

βšͺDARASA LA KWANZA KATIKA ETHICAL HACKING πŸ‘¨β€πŸ’»



πŸ€HACKING NI NINI?
Najua Neno hacking sio geni kwa watu wengi maana umeweza kusikia kuwa watu wengi wa wamekuwa wa hanga katika hacking .



πŸ€MAANA:-
Ni Kitendo Cha Kuingilia Mfumo wa Kompyuta .




πŸ€HACKER NI NANI?πŸ‘¨β€πŸ’»
Ni mtu ambae mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta na kuweza kuingilia mfumo wa kompyuta.



πŸ€AINA ZA HACKERSπŸ‘¨β€πŸ’»


Kuna Aina Nyingi za Hackers zaidi Ya Tano leo tutaongelea Baadhi.




1.WHITE HACKERSπŸ‘¨β€πŸ’»


Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Ruhusa.




2. BLACK HACKERSπŸ‘¨β€πŸ’»


Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Bila Ya Kupewa Ruhusa.




3.GREY HACKERSπŸ‘¨β€πŸ’»


Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Ruhusa Au wasiwe na Ruhusa (vigeugeu) .





4.SCRIPT KIDDIESπŸ‘¨β€πŸ’»


Hawa Tunaweza Kusema Sio Hackers ama Hackers ambao hawana ujuzi kuhusu networking ama hacking ila hutumia tools za hacking kufanya hacking.





5. STATE HACKERS.πŸ‘¨β€πŸ’»


Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Ruhusa Ya Serikali hawa hufanya kazi yake serikali tu.












JE NI UJUZI GANI UNAHITAJI ILI KUFANIKIWA KATIKA HACKINGπŸ‘¨β€πŸ’»


Hacking Ni Level Ya Juu(advance) inahitaji msaidizi kutoka kwa kipengele tofauti tofauti ili kuweza kufanikiwa katika hacking .

1. CompTIA +
Hii ni level yake Kwanza Ambayo itakusaidia Kuweza kujua mfumo wa kompyuta 'na kuweza kutatua matatizo mbalimbali katika kompyuta.


2.Networking 
Hii ni hatua ya kuanza kujua kuhusu Networking kiundani ili iweze Kukusaidia Katika Hacking huwezi fanya hacking bila kujua network

3.Kali Linux πŸ‰ 
Hii ni Tool ambayo inatumiwa na watu wengi Katika Tasnia Ya teknolojia kuna hackers , cyber security , penetration tester , IT , Networking .inakuwa na Tools nyingi zinazoweza kukusaidia Katika Hacking.

4.Programming 
Pia Lazima uwezekujua programming ili uweze kutengeneza tools za kwako mwenyewe ili usiwe SCRIPT KIDDIES
kuna lungha za Programming kama Python , Ruby , Bash Script , PHP , C , C# NK.

NB:kuwa Hackers haufundishwi bali unapewa muongozo na kuweza kufanya mwenyewe ili kuweza bora katika HackingπŸ‘¨β€πŸ’».



πŸ€HATUA ZA KUFANYA HACKING πŸ‘¨β€πŸ’»

Katika Kufanya Hacking Kuna Hatua Za Kufuata Hauwezi Kufanya Hacking Bila Kufuata Hatua Hizi ama zaidi Ya Hizi .

1. RECONNAISSANCE
 Hii ni Hatua Ya Kwanza Katika Hacking .ina Maana Gani Hii Hatua Hii hatua wewe Kama Hackers lazima Uweze kuchukua Taarifa Kuhusu Target(mlengwa ) mfano. Unataka kuhack NECTA itabidi ujue vitu kama Hivi IP Address Yake mfano IP Address Ya Nacte Ni 123.25.73.0 Pia kitu chengine lazima Ujue Sytem Gani wanayo itumia Mfano Ni Ubuntu au Ni Linux .pia Utabidi ujue Network Map wanatumia aina Gani ya Network Ili kusambaza Data Katika Mfumo wao .pia subdomain name .mfano Domain Ya NACTE ni www.nacte.ac.tz sasa wewe kama hacker itabidi ujue subdomain zake mfano www.nacte.edu.tz

πŸ’¦Hizi subdomain zinakusaidia kupata Taarifa au access site bila kuangaika sana .





2.SCANNING
Hii ni hatua ya pili baada ya kufanya hatua ya kwanza utakuwa umepata taarifa fulani kuhusu target yako ipo katika IP Address ipi na inatumia syatem gani sasa .katika hatua hii inahitajika kupata access katika sytem au server mfano NACTE Server ibidi u scann system kwa kufanya sniffing za packect unaweza ukatumia tool kama WireShark🦈 ili kuweza kuangalia je packet ziko na security unaweza ukakuta wana transfer hata kutumia TCP hii haiko secure kwa hiyo Hackers au Attackers anaweza fanya packet sniffing na kuiba data au kufanya sniffing katika Open Port na kuweza kutafuta njia Ya Kuingia katika Mfumo.





3.GAIN ACCESS 
Baada Ya Ku scann system utaweza kujua kama kuna open ports na kama wanatumia secure system au sasa hapa itakuhitaji kujiconnect katika system bila kujulikana ila katika system nyingi ambazo ziko secured hutoweza kuji connect kwa sababu huwa wameweka firewalls pia limit ya aina au idadi ya ipi address katika kujiunganisha katika system kama hackers lazima tutafute njia yake kuweza kupata access maana "NO SYSTEM IS SAFE" .




4.MAINTAIN ACCESS
Hapa Baada Ya Kupata Access akatika system lazima uweze kuweka vitu ambayo takusaidia kuingia tena ili kuendelea kuhack hapa utaweza kuweka payloads ambazo zitakuwaidia kucontrol system au unaweza kuweka backdoor payload ambazo utaweza kupata access katika system ata system ikiwa offline. Kuna tool au framework kama Metasploit itakusaidia kupata au kutengeneza payload.




5.COVER TRACKS
Hii ni hatua ya mwisho apa wewe kama hackers wakati una hack ama ku access kuna vitu kama logs zinajitengeneza kwa hiyo itabidi ufute logs zote pia utoe payload ulizoeka katika system pia itabidi ufunge ports ulizofungua ilikuweza kufanya usijulikane hapa ndio neno "ANONYMOUS" Limetokea ata Baada Ya Taasisi Kama NACTE kujua kama Wame hackiwa hawataweza kukujua wewe ni nani 😁.


*_NB:_*
TAHADHARI HII ELIMU NI KWA AJILI YA KUJIFUNZ πŸ€“ NASIO UHALIFU AHSANTE .
Prepared by WADUDUU BRAND

Written by DUDUU_MENDEZ 
CONTACT US ON SOCIAL MEDIA




𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_πŒπ„ππƒπ„π™ V4. | Β© 2024,

No comments:

Post a Comment