Skip to main content

About Us

 DUDUU_MENDEZ COMMUNITY is the one of the community which deals with NETWORK INFO AND TIPS, HACKING TIPS AND COURSE,TERMUX COURSE, VIDEO CONTENT EDITING ,GRAPHICS DESGIN, VPNS FILES, MOD PREMIUM APPS,


We have some awesome service at free of charge and some service are Premium Don't worry in our community we do not provide scum service, our services are verfied and granted ALWAYS SUPPORT DUDUU-MENDEZ. We appreciate on your cooperation to our website. STAY WITH US

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUJIINGIZIA KIPATO KWA KUTUMIA SIMU (Tengeneza pesa kwa kutumia simu yako ya mkononi)

Karibu Tena katika blog yetu ya DUDUU_MENDEZ COMMUNITY.  Leo tutaenda kuangalia njia mbalimbali ambazo zitakusaidia kujiingizia kipato kupitia simu yako ya mkononi Kuna watu ambao hukaa ndani kwa masaa kadhaa na kujiingizia kiasi flani. Kwasasa dunia imekua sana katika suala la teknolojia na mitandao  Leo nitakuonyesha njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia ukajiingizia kipato kwa kutumia simu yako ya mkononi NJIA ZA KUJIINGIZIA KIPATO KWA KUTUMIA SIMU YAKO  1.TIKTOK Kwasasa tiktok imeweza kuwalipa wengi, kuna watu ambao wanaendesha maisha yao kwa kutumia tiktok,  watu hao ndo wale unao waona wanaitwa content creators Content creators sasa hivi wamekuwa wengi katika kila kona ya dunia watu wengi wejiingizia kipato kupitia hio kazi yao Ili uweze kulipwa na tiktok itakubidi uwe umefungua international account na umewasha baadhi ya settings KAMA UNAHITAJI TIKTOK ACCOUNT YA INTERNATIONAL GUSA HAPA 👉 TIKTOK   👈 Nimefanya utafiti wangu nimeona watu wengi wapo tiktok na account kubwa laki...

How to Hide and Charge Ngrok, Cloudflare Link in Termux & Linux

The MaskingURL tool is used to hide any links or URLs behind the original link. This tool is a free and open-source tool that you can download from GitHub. This tool can perform social engineering attacks on victims. and hide all types of URL links like ngrok links. MaskingURL is a very useful tool and easy to use. This tool is written in bash. This tool is a bash script. The tool gives you the flexibility to use it as per requirement. This tool is a light tool means small. You can add your own URL after the original URL of the link. This tool was developed by JayKali, a group of ethical hackers. Maskphish is available as a console script. The user interface of this tool is very similar to Metasploitable 1 and Metasploitable 2, which makes it easy to use. People are smart enough these days. They will not fall into the phishlng trap. Because the link doesn’t look like the original website. For example, a phishlng link might be like https://ngrok.io/xxabcd , but it will open a page like ...

⚪DARASA LA KWANZA KATIKA ETHICAL HACKING 👨‍💻

🍀 HACKING NI NINI? Najua Neno hacking sio geni kwa watu wengi maana umeweza kusikia kuwa watu wengi wa wamekuwa wa hanga katika hacking . 🍀 MAANA :- Ni Kitendo Cha Kuingilia Mfumo wa Kompyuta . 🍀 HACKER NI NANI?👨‍💻 Ni mtu ambae mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta na kuweza kuingilia mfumo wa kompyuta. 🍀 AINA ZA HACKERS 👨‍💻 Kuna Aina Nyingi za Hackers zaidi Ya Tano leo tutaongelea Baadhi. 1.WHITE HACKERS👨‍💻 Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Ruhusa. 2. BLACK HACKERS👨‍💻 Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Bila Ya Kupewa Ruhusa. 3.GREY HACKERS👨‍💻 Ni Aina Ya Hackers wenye uwezo wa kuingilia mfumo wa kompyuta na kudukua taarifa fulani katika mfumo huu ila wanakuwa na Ruhusa Au wasiwe na Ruhusa (vigeugeu) . 4.SCRIPT KIDDIES👨‍💻 Hawa Tunaweza Kusema Sio Hackers ama Hackers ambao hawana ujuzi kuhusu networking ...