MENU

Tuesday, November 19, 2024

MWISHO WA DARASA LA NETWORKING KWA ETHICAL HACKERS

🍀 Tutaangalia Vitu Gani Vinavyo Msaidia Hackers Kufanya Hacking .


1. OS (Opeeating System 🐧)


Katika Os Tunaongelea Kuhusu Operating System mfano Window Hii ni OS ambayo Ni Maarufu sana ila leo tunaangalia OS ambazo zitakusaidia wewe Kama Ethical Hacker au Cyber Security ama Penetration tester .





I. LINUX 🐉


Katika OS Ya Linux ina Vipengele Vingi Kama Kuna Red Linux , Kali Linux .nk ila katika LINUX kuna moja ambayo imekuwa ikipendwa sana na imekuwa maarufu kutokana na uwezo wa kufanya Kazi .(Kali Linux🐉)). Ina zaidi Ya Tools 100+ za Kuweza Kufanya Hacking , Penetretion Testing ,Networking nk. 



II. UBUNTU 🐧


Hii pia Ni OS ambayo imekuwa na umaarufu katika maswala Ya Hacking Pia Ipo Kama Kali Linux Inafanya Kazi sawa ila Sifa Ya Ubuntu Haina Kasi(speed) kama Kali Linux Ndio Maana Watu Wengi Hutumia Kali Linux . Ila Kitu Kizuri Ni kile Kinachokufaa Na Unacho kipenda .




III.DEBIAN 🦈


Ni OS ambayo Inatumika Katika Penetration Testing Ni Version Ya Kauli Linux .pia ina Tools Nyingi Kama Kali Linux .





NB:Katika Kuchagua OS Ya Kutumia Tunaangalia Uwezo wa Mtu na kazi unayofanyia me Napenda kushauri Kutumia Kali Linux na Ubuntu kwa sababu ni OS ambazo Watu wengi wamekuwa wakitumia Hivyo Itakuwa Rahisi Kujifunza na Kuzielewa .






👑Tools/Vitu Ambavyo Hackers Hutumia Kufanya Hacking .

Kila Tools Inasababu Yake Na pia Kuna Aina Za Hacking Hutegemea tools Fulani.

💫Tutaanza Na Hacking za Password.

1. Bruteforce🛡
Hii ni aina Ya Attack inayotumika Kuhack password kwa kujaribu password tofauti tofauti kuna jumla zaidi Ya Password 10M+ Hivyo Hackers Atajaribu Aina Fulani Kutokana Na Mtu Huyu Huwezi Jaribu Password Hizo zote itaweza kuchukua zaidi Ya Mwaka.kuna Tool kama John The Rippers hutumika katika kufanyika Bruteforce Attack.

2.DICTONARY ATTACK 📖
Hii ni aina Ya Pili Ya Kuhack Password kila Hii Hackers Huwa Na List za password na kuweza kuingiza katika Hacking Mashine Yake Kama Ni Kali Linux Au Termux Yoyote Ile Ili Kufanya Attack Katika Kujaribu Password Zilizopo Katika List Yake.pia Hii Hutumika Kutafuta Password fulani Inayoendana Na Hash # huwezi fanya Attack Hii online Kwa sababu mfano Instagram Huwezi Jaribu Zaidi Ya Mara 10 kuingiza password moja katika Ip Address moja hivyo itakuwa ngumu kujaribu password zaidi Ya 10 kwahiyo wewe kama hacker lazima utengeneze tool ambayo itakayo kukusaidia kubadilisha IP Address Ili kuweza kufanya Attack.

3.PHISHING ATTACK🪝
Hii Ni aina nyengine Ya Kuhack Password ambayo Hacker kutengeneza fake page ya mtandao husika ama website fulani nakuweza kuifanya ionekane kama Ni Ya kweli kisha ata mtumia mhusika kwa kupitia email au sms nk kisha yule aliyo mtumia iyo link akibonyeza nakujaza taarifa mfano username na password basi hacker atakuwa ameipata hiyo password🔐.

4. SOCIAL ENGINEERING 🫣
Imekuwa njia maarufu kutokana imekuwa ikifanyika kuhack kampuni kubwa ikiwemo Twitter, UBER , YAHOO .Hackers wamekuwa wabunifu kila siku katika kufanya hacking wemeonakuwa kampuni hizi zimekuwa zina system safe 🛡 sana wa kaamua kutumia social engineering .hii inakuwa hacker anajifanya kuwa ni mteja au ama anafanya udanganyifu kwa mtu nakumuaminisha kuwa ni kampuni au mti fulani hakuweza kupata kile anacho kihitaji.

NB:Kuwa mbunifu ni ubora wa hacking yako kufanikiwa Jifunze Mbinu Mpya ili uweze kuwa Ethical Hacker Bora .



KWA CHANGAMOTO YOYOTE GUSA LINK HAPA CHINI ILI KUWASILIANA NASI









[Ku hack Password]

Tunaendeleea.....🚶🚶🚶🚶












🍀Tutaangalia Juu Ya Ku hack Password Online .[Facebook ]


Katika Ku hack password Online Kuna njia Unaweza Tumia Katika njia Zile Tulizo Zipata Hapa Sasa Kuna Njia Ambayo Imekuwa Rahisi Kuitumia Katika Ku hack Password Online. Has a katika mtandao Wa Facebook Leo tutatumia njia Ya Bruteforce Attack 🦾 Katika Ku hack password .

Hii Njia Inafanya Kazi?

Hii inakuwa inatumia list za password kujaribu password Mbalimbali Katika Hiyo Akaunti Sasa Lazima Kuna Vitu uwenzavyo Kama Bruteforce Tool 🛠na Password List 📖 . 




Brute force Tool 🛠 nini??


Hii ni tool ambayo inakusaidia wewe kama hacker 🧑‍💻 kujaribu kila password zaidi ata Ya 10M bila kuandika maana halisia katika Facebook Hauwezi Kujaribu password zaidi Ya 50 kwa Simu Moja itakuhitaji Uwe na simu zaidi Ya Kumi sasa Hapa Ndio tool Ya Brute force 🛠 inatumika pia unapojaribu password katika akaunti Facebook wanaweza kukublock maana kuna kitu kinaitwa IP Address 📍 IP Address ikitumika sana kuingiza password alafu zinagoma IP Address Yako inazuiliwa sasa unapotumia ile Brute force tool🛠 inakupa uwezo wa kujaribu password nyingi kwa muda mchache pia inakuwa inabadilisha IP Address tofauti kwa maana IP Address Yako itakuchukua muda Kubadilisha . 

Bruteforce Tool : FB-BRUTE 
Password list : Worldlist.text

Password List inaweza ikawa nazaidi Ya Password 10M .


NB:
    TUMIA ELIMU HII KUJIFUNZA NA SIO KUFANYA UHALIFU ADMIN ATAHUSIKA KWA MAKOSA UKAYO FANYA .










 [Linaendelea...]

Leo Tutaangalia Juu Ya Ku hack Password Online .[Instagram ]


Katika Ku hack password Online Kuna njia Unaweza Tumia Katika njia Zile Tulizo Zipata Hapa Sasa Kuna Njia Ambayo Imekuwa Rahisi Kuitumia Katika Ku hack Password Online. Hasa katika mtandao Wa Instagram Leo tutatumia njia Ya Bruteforce Attack 🦾 Katika Ku hack password .

Hii Njia Inafanya Kazi?
Hii inakuwa inatumia list za password kujaribu password Mbalimbali Katika Hiyo Akaunti Sasa Lazima Kuna Vitu uwenzavyo Kama Bruteforce Tool 🛠na Password List 📖 . 

Brute force Tool 🛠 nini??


Hii ni tool ambayo inakusaidia wewe kama hacker 🧑‍💻 kujaribu kila password zaidi ata Ya 10M bila kuandika maana kuhalisia katika Instagram Hauwezi Kujaribu password zaidi Ya 50 kwa Simu Moja itakuhitaji Uwe na simu zaidi Ya Kumi sasa Hapa Ndio tool Ya Brute force 🛠 inatumika pia unapojaribu password katika akaunti Instagram wanaweza kukublock maana kuna kitu kinaitwa IP Address 📍 IP Address ikitumika sana kuingiza password alafu zinagoma IP Address Yako inazuiliwa sasa unapotumia ile Brute force tool🛠  inakupa uwezo wa kujaribu password nyingi kwa muda mchache pia inakuwa inabadilisha IP Address tofauti kwa maana IP Address Yako itakuchukua muda Kubadilisha . 

Bruteforce Tool : INSTA-HACK
Password list : Worldlist.text

Password List inaweza ikawa nazaidi Ya Password 10M .





`⚪GMAIL PHISHING ATTACK ⚓`


🍀Hii ni aina ya kufanya phishing site ya gmail account .

🌿Phishing attack nini?

⚪Phishing ni Aina Ya Social Engineering Attack ambayo Hacker anamuaminisha mlengwa(victim) kuwa ni google Gmail na kumtumia link .anaweza kumwambiah kuwa itabidi arekebishe password yake au kitu chengine alfu huyu mlengwa[victim] aliyetumiwa link akibonyeza atapelekwa katika fake page ya hacker ila inayoonekana kama google Gmail atakapo andika taarifa zake mfano :- victim@gmail.com na password 13473 basi taarifa zitaenda kwa hacker nasio Katika Google Gmail.

NJIA: PHISHING ATTACK
AINA :SOCIAL ENGINEERING [ ulaghai]
TOOL: ZPHISHER [ phishing attack] 


NB:
      🍀TUMIA ELIMU HII KWA AJILI YA KUJIFUNZA NASIO UHALIFU👮🏿




🦈Jifunze Kitu Ata Kama Ni Kidogo🦈




🍀 [Darasa Linaendeleea...]

           🌿 Tutaongelea Vitu ambavyo vinamzuia hacker kuhack password kiurahisi .

Kuna vitu ambavyo vimewekwa Katika system ili isiwe rahisi kwa hacker kuhack password *[ security password]*

Baada ya Hacker kuweza kufanikiwa kuhack Password akitaka kuingia katika system au akaunti aliyohack anaweza akawa na jina[username] na nenosiri[password] ila akishaingiza kuna vitu vinaitwa Kama :-
• 🇹🇿Two authentication code
• 🇹🇿Pass phases

 
1. Two Authentication Code [ 2AF/ 2AC]

Hii 2AF/2AC ni Security System ambazo zimewekwa ili kuweza kujua kama wewe ni muingiaji halisi wa hiyo akaunti .

2AF/2AC inakuwaje ? 🤔
Mfano umefungua WhatsApp uka andika namba Ya simu mfano :- +255745179214 Kisha ukabonyeza Enter watakwambia Enter Code Sent To This Number "Ingiza code/msimbo uliotumwa katika hii namba" . hii ikiimaanisha kuwa wanataka kujua Kama kwel namba ni yako .
Pia unaweza ukawa na Akaunti Ya Facebook una username na password yako Ila hacker akihack akaunti yako akipata password yako anaweza akaingia direct kwenye akaunti yako bila shida ila kuna mtu yeye kaweka 
2AF/2AC kwenye akaunti yake yani ukiingiza username na password yake Facebook watakwambiah uingize [ 2AF/2AC ] ambayo uliotumwa katika namba yako kwa hiyo hapa Kama hacker atashindwa kuingia katika akaunti yako kwa sababu kuna security ya 2AF/2AC ambayo umeiset . Hivyo inashauriwa uweke 2AF/2AC katika akaunti zako .

2. Password Phase [ pass phases] 📜
Hii ni aina Nyengine ya security ambayo 
Inamzui hacker kuingia katika akaunti ama system .

Password Phase nini? 🤔
Hii Inakuwa tofauti kidogo na ile ya 2AC/2AF hii inakuwa na orodha ya maneno fulani ambayo unapewa na website au system ili kuweza kutumia unapoingia katika akaunti yako . pass phases inakuwaje mfano :- [ chakula , Tembo, sungura, mguu, simu , siku, embe] . Hii ni Orodha Ya Maneno [ pass phases] ambayo utakapo ingiza username na password katika akaunti yako ukisha ingiza utaambiwa uweke pass phases zako tena kwa mpangilio kwahiyo ukikosea ama ukisahau hautaweza kuingia . Ndio maana hackers akipata username na password bila pass phases hatoweza kuingia katika akaunti yako .



NYONGEZA KATIKA PASSWORD SECURITY 👮[ BONUS 🎁

3 .PASS HASH


Hii ni aina Ya kuficha password katika mfumo wa hash yaan tofauti na maneno ya kawaida.

Pass Hash # inakuwaje ?🤔 
Katika system nyingi siku hizi wanatumia mfumo wa password hash katika kuhifadhi password yaan unaweza ukaandika password yako Mfano:- dragon hii ndio password yako ila katika kuhifadhi katika hizo system wanaweka katika hash ambayo inakuwa 3f57D6g57FGI537RGE57:Gtyr6w kwahiyo hacker ambaye hajui kuhusu password hash hatoweza kuhack password ya akaunti hivyo wewe Kama hacker lazima ujue hii ni aina Gani ya password hash ni MD5 / MD4 Ili kuweza kubadilisha hiyo password kurudi katika neno la kawaida yani :- dragon ili uweze kuhack Iyo akaunti.
Kubadilisha bass Password kuwa maneno yakwaida kuna website nyingi za kubadilsha hashpass kuwa neno la kawaida. 




🦈Jifunze Kitu Ata Kama Ni Kidogo🦈





🍀 *[encryption na decryption]*

Leo napenda kuzungumzia kuhusu encryption na decryption kwenye files unaweza ukakutana na files ambazo hazina password ila ziko encrypted .


🌿Encryption ni nini?
Ni hali ya kuficha file katika encrypted code ambazo hazitawezekana kusomeka hata kwa mtu aliyehack password bado hatoweza kusoma taarifa zilizopo katika file lako ambalo ulilifanyia encryption mpaka afanye decryption ndio ataweza kusoma. katika encryption kuna kitu kinaitwa encryption software ambazo zinatumika katika kuficha file lako kuwa katika encryption code. Hizi software zinatumika katika kuficha file, picha, music hata virus au malware ili kuweza kuifanya isigundulike na antivirus yoyote .




🌿Decryption ni nini?
Ni kitendo cha kubadilisha file lililo katika encryption mode kuwa katika mfumo wa kawaida mfano mtu ameweka filename.pdf akalifanyia encryption na kuwa filename.png hapo kabafilisha file la pdf kuwa picha na hapo hutoweza kusoma hiyo PDF mpaka ufanye decryption ndio uweze kusoma PDF Hiyo.

Hacker wamekuwa wakifanya encryption ili isiwe rahisi mtu wakawaida kusoma taarifa zao pia wamekuwa wakifanyia encryption virus au malware ili kuweza kuifanya isijulikane na antivirus yoyote ile.

🎊Kuna aina mbalimbi za encryption kutokana na software inafanya aina yake maana antivirus software zinafanya decryption ili kuweza kujua kama file ina virus au LA. Hivyo hackers wamekuwa wakitumia code zao wenyewe ili kuweza kufanya encryption katika mafaili yao pia Hata virus.

NB:
    TUMIA ELIMU HII KUJIFUNZA NASIO KUFANYIA UHALIFU



`⚪MWISHO WA DARASA LA NETWORKING KWA ETHICAL HACKERS`


🍀Mtandao ni mfumo wa kompyuta ambao huunganisha vifaa vya elektroniki na kutoa uwezo wa kushiriki data kwa urahisi. Usalama wa mtandao ni muhimu sana kwa sababu inahakikisha kuwa data zetu na mifumo yetu ya kompyuta inalindwa kutokana na wadukuzi. Usalama wa mtandao unahusisha kulinda mtandao dhidi ya mashambulizi ya wadukuzi, kuzuia wadukuzi kupata data nyeti, na kuzuia wadukuzi kufanya uharibifu kwenye mifumo yetu ya kompyuta.



🍀Kwa Ethical hacker katika upimaji wa uingiliaji[penetration testing]  kwenye mtandao[network], ni muhimu kujifunza usalama wa mtandao ili kuweza kugundua mapungufu katika mtandao na kuishauri kampuni husika jinsi ya kuziba mapungufu hayo. Kwa hivyo, ni muhimu sana kwetu kama ethical hackers kujifunza usalama wa mtandao na jinsi ya kulinda mtandao dhidi ya mashambulizi ya wadukuzi[hackers].


Contact us



FOLLOW US ON




DUDUU_MENDEZ V4. | © 2024

No comments:

Post a Comment